Endison Cavani na Davidi Luiz wamegoma kuludi PSG na hii ndio sababu ....

Beki wa kimataifa wa Brazil anayekipiga katika klabu ya Paris Saint Germain ya Ufaransa David Luiz pamoja na mchezaji mwenzake anayeichezea klabu hiyo na timu ya taifa ya Uruguay Edinson Cavani wamegoma kurejea Paris Ufaransa ambapo ni makao makuu ya klabu yao ya PSG na walisafiri kwa muda kwenda kuzitumikia timu zao za taifa.Wachezajo hao hawataki kurejea uwanjani kutokana na shambulio la kigaidi lilofanyaka ijumaa tareh 13 na kusababisha vifo vya watu 129

Comments