THANKS GOD

Namshukulu Mwenyezi MUNGU kwa kuendelea kutupenda na kuijali familia ya Lazaro kwa ujumla kwa kuivusha katika milima na mabonde na misukosuko ya hapa na pale pia sina la kujivunia Ila yote twamwachia yeye pia naomba anibariki katika maandalizi mema ya mtihani wa NECTA ambao utafanyika tarh 04:11:2013 Amen

Comments